Na Edwin Soko-Banjul, Gambia
Mkutano wa Afrika wa Azaki (CSOs) unafanyika mji wa Bajul Gambia ukiwa na lengo la kutathimini utekelezaji wa maazimio ya Tume ya Afrika juu ya kulinda haki za binadamu Afrika, Mkutano huo umendaliwa na Kamisheni ya Afrika inayoshughulika na Haki za Binadamu.
Mkutano huo ulichagizwa na uwasilishwaji wa mada mbalimbali kama kutathi
min demokrasia na haki za binadamu Afrika, utawala wa sheria katika bara la Afrika, tathimini ya mkataba wa Maputo wa kulinda haki za wanawake na watoto, rushwa na athari zake katika jamiii.
Onesmo Olengulumwa, Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, amesema Tanzania imeonekana kufanya vizuri kwenye eneo la kupambana na rushwa, kwani Rais Magufuli mekuwa bila haki na amani, hivyo serikali za Afrrika zifanye jitihada za kuhakikisha kuwa kila Mwananchi anapata msaada wa kisheria na pia zijengwe taasisi imara zitakozozingatia usawa katika upatikanaji wa haki.
Aliongeza kuwa, Serikali lazima zitenge bajeti na kuzijengea uwezo taasisi zinazotoa haki katika kuhakikisha kwamba jamii iliyopo pembezoni na watu maskini wanapata haki.
Naye Harusi Mpatani Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar alisema kuwa, uwepo wa kamisheni ya Afrika ya haki za watu isistize nchi wanachama wanalinda na kutetea saini mkataba wa kupambana na rushwa lakini ndio zinaongozwa kwa vitendo vya rushwa barani Afrika.
Bi. Christina Kamili Mkurugenzi wa Mtandao wa wa Mashirika yanayotoa Huduma ya Msaada wa Kisheria alisema kuwa, hakuna maendeleo bila haki na amani, hivyo serikali za Afrrika zifanye jitihada za kuhakikisha kuwa kila Mwananchi anapata msaada wa kisheria na pia zijengwe taasisi imara zitakozozingatia usawa katika upatikanaji wa haki.
Aliongeza kuwa, Serikali lazima zitenge bajeti na kuzijengea uwezo taasisi zinazotoa haki katika kuhakikisha kwamba jamii iliyopo pembezoni na watu maskini wanapata haki.
Naye Harusi Mpatani Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar alisema kuwa, uwepo wa kamisheni ya Afrika ya haki za watu isistize nchi wanachama wanalinda na kutetea haki za binadamu pamoja na kuwepo mikakati thabiti ya kulinda taasisi za ndani zinazosimamia haki za binadamu, pia ametoa ushauri kwa mheshimwa Rais John Pombe Magufuli kuharakisha mchakato wa kupatikana kwa makamishina wa haki za binadamu, ambao ni kiungo muhimu katika kusimamia masuala ya haki za binadamu Tanzania.
Licha ya changamoto zilizopo katika kukabiliana na vitendo vya rushwa lakini kuna baadhi ya Nchi zimeonesha mfano mzuri wa kupambana na Rushwa, moja ya nchi hizo ni Tanzania ambayo imeanzisha mahakama maalumu ya kupambana na vitendo vya rushwa.
inkuru : http://www.bmghabari.com